Jahazi la SUNRISE ambalo lilikuwa likitokea Mkoani Tanga kulekea visiwani Zanzibar ikiwa na abiria 32 limezama jana eneo la Nungwi huku jitihada za kuwaokoa abiria hao zikiendelea kufanywa na maafisa wa uokoaji mpaka sasa.
Friday, 1 February 2013
Tuesday, 22 January 2013
Friday, 18 January 2013
Monday, 14 January 2013
SUGU AISHUKURU COCA COLA
MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (CHADEMA) maarufu kwa jina la ‘Sugu’, ameishukuru Kampuni ya Coca Cola kwa kuwachangia sh milioni tano kwa ajili ya kusomesha watoto 360 watakaotoka kila kata katika jimbo lake.
Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es Salaam jana, Sugu alisema katika jimbo hilo wameanzisha mfuko wa kusaidia watoto wasiojiweza unaoitwa Mbeya Education Fund ambao kila mdau anayeguswa na elimu ni muhimu kuuchangia bila kujali itikadi ya chama.

Subscribe to:
Posts (Atom)