Sunday, 23 October 2011

MH VICKY KAMATA AKIWA ZIARANI MKOANI GEITA












Mh Vicky Kamata alipo mtembelea mlemavu wa ngozi (albino) aliye jeruhiwa na watu wenye imani za kishirikina

Thursday, 20 October 2011

MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU.WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA WATOTO.WATERFRONT.

Mh Vicky Kamata akiwa na Naibu waziri wa wizara ya  maendeleo ya jamii jinsia na watoto Mh Ummy Ally Mwalim na mmoja wa wachangiaji
Mh Vicky Kamata akiwa na  Mh Mashishanga
Mh Vicky Kamata akiwa na naibu waziri wa wizara ya maendeleo ya jamii jinsia na watoto Mh Ummy Ally Mwalim
Mh Vicky Kamata akiwa na Naibu katibu mkuu wizara ya maendeleo ya jamii jinsia na watoto
Mh Vicky Kamata akiimba wimbo maalum 

Wednesday, 5 October 2011

MH CATHERINE MAGIGE UPANDE WA KUSHOTO AKIWA WASHNGTON DC KWENYE DICOTA 2011

Catherine akiwa na rafiki yake katika uzinduzi wa DICOTA 2011

Zuliani
                                 Watu wazito wa NSSF walikuwepo katika kuzindua DICOTA 2011
PICHA ZOTE KWA HISANI YA  8020 FASHION

Tuesday, 27 September 2011

MH VICKY AKIKAGUA MRADI WA KISIMA KATIKA KITUO CHA WATOTO YATIMA F.T.I MASUMBWE

  


Mh Vicky akikagua mradi wa kisima kilichotafutwa na Victoria Foundation
                                 
Mh Vicky akiwa na viongozi wa  UWT  Mkoa wa Geita
                                


Enhanced by Zemanta

UFUNGUZI WA SHULE YA SEKODARI WAMA


 Mh Vick alipo kuwa  akifanya  rehersal  na  wanafunzi wa  WAMA  wasekondari kabla ya sherehe ya ufunguzi  wa shule hiyo

GEITA DOCUMENTARY

Contributors