Wednesday, 6 July 2011
JK NA KAZI ZA MAENDELEO YA MIUNDOMBINU MKOANI KIGOMA
Rais Jakaya Kikwete na Mbunge wa Kigoma Kusini David Kafulila pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Joseph Simbakalia(kulia) wakati wa sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kidahwe- Uvinza kwenye kijiji cha Kazuramimba.
MALIPO YA RADA KUJERESHWA
Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.Anne Makinda(katikati) akipokea taarifa ya marejesho ya malipo ya rada kutoka kwa Naibu Spika Mhe. Job Ndugai(kulia) aliyeongoza timu ya wajumbe kwenda Uingereza kujadili marejesho hayo yatakavyofanyika. kushoto ni Mbunge wa Ilala Mhe. Azzan Zungu
Naibu Spika Mhe.Job Ndugai(aliye simama) akiongea na waandishi wa habari
AFRICAN TOUCH IN DAR
Ilikuwa Dar es Salaam Fashion Festival ambako kulikuwa na maonyesho ya fashion mbalimbali na hizi African Touch ni za hapa hapa bongo zimetengenezwa na watanzania.
Monday, 27 June 2011
Sunday, 26 June 2011
CELEBRATED PAN AFRICAN DESIGNER
Celebrated Pan African designer who also is convener of East and Central Africa's biggest Fashion platform, Swahili fashion week, based in Dar es Salaam, Mustafa Hassanali participated in the first Dar Fashion Festival on 25 and 26 of June 2011.
“Being the leader in the Fashion and Creative Industry, Its of Paramount importance to be a role model for others to Emulate and Lead the way for the development of the East African Fashion Industry. We loud such initiatives which are also aimed at Empowering and enterprising Women but also create employment and growth of not only the creative sector but that of the local economy.” Stated Mustafa Hassanali
Subscribe to:
Posts (Atom)