Posted By Steven Mruma.
Na hizi ni Baddhi ya Picha za matukio mbalimbali wakati wa mahafali na baada ya mahafali.
![]() |
| kushoto ni kuu wa shule ya Feza Boys katikati ni Mh. Vicky na kulia ni mkurugenzi wa ISHK ambayo ndio wamiliki wa shule ya Feza Boys |
![]() |
| Mh Vicky akihutubia na kuwaasa vijana waliomaliza kidato cha nne |
![]() |
| Hapa akishuka jukwani mara baada ya kuhutubia |
![]() |
| Akihojiwa na vyombo mbalimbali vya habari |
![]() |
| Familia ya Mh. Vicky Kamata pamoja na viongozi mbalimbali na walimu wa shule ya Feza Boys.. |
![]() |
| wahitimu baada ya kukabidhiwa vyeti wa akiwemo mtoto wa Mh. Vicky Kamata( Revocatus) ambaye pia alihitimu kidato cha nne mwaka huu shuleni hapo |
![]() |
| Revocatus na rafki yake katka pozi |
![]() |
| Mara baada ya Sherehe ya mahafali kuisha, mambo yalihamia hapa na bata zikaendelea hasa kwa kumpongeza Revocatus kwa kuhitimu kidato cha nne Feza Boys. |
![]() |
| "' Mapenzi ya mamaa elimu ya mamaa haina ada wala cheti ila ni elimu zaidi ya chuo kikuu," Mama akimkabidhi mwanaye Zawadi |
![]() |
| Glory wa kwanza kushoto ambaye pia ni mtoto wa Mh. Vicky akiwa na Mama yake wa pili kushoto akifatia Winnie na Kaka Emma kulia |
![]() |
| Mh. Vicky katikati akiwa na wadogo zake Deo kushoto na Emma kulia |
![]() |
| Mh. Vicky katika Pozi na kaka Emma |
![]() |
| Mh, Vicky akiwa na watoto wake Glory na Revocatus |














No comments:
Post a Comment