Na Steven Mruma..
Mh. vicky kamata huadhimisha siku yake ya kualiwa kila tar 18/09/ kila mwaka na katka kuadhimisha siku ya kuzaliwa mwaka huu aliamua kutoka na wadogo zake pamoja na mwanae Glory kama picha zinavyoonyesha.![]() |
| PICHA YA PAMOJA KABLA YA KUANZA KWA PARTY |
![]() |
| MTUMISHI PAUL KUSHOTO GLORY KATIKATI NA MAMA WA GLORY MH. VICKY KAMATA KULIA |
![]() |
| MH. VICKY AKIFURAHIA ZAWADI YA KEKI KUTOKA KWA WADOGO ZAKE NA RAFIKI YAKE AGNESS HOKORORO |
![]() |
| GLORY AKIANGALI PICHA NA MAMA YAKE KULIA NI MH. AGNESS HOKORORO |
![]() |
| MH. VICKY KUSHOTO NA MH. HOKORORO |
![]() |
| MUDA KEKI |
![]() |
| NI FURAHA KUTIMIZA MIAKA KADHAA |
![]() |
| KAMA KAWAIDA WATU WALIKULA |
![]() |
| MPAKA WATASHA HAPA WALIOMBA SHAVU NADHANI KWAKUA WALIONA MAMBO YANAFANANA NA KWAO MAMTONI |
![]() |
| KITU CHA KEKI |
![]() |
| AKIMLISHA MDOGO WAKE WINNIE |
![]() |
| AKIMLISHA KEKI MTUMISHI PAUL |
![]() |
| AKIMLISHA MWANAE GLORY |















No comments:
Post a Comment