![]() |
| Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma akitoa heshima za mwisho |
![]() |
| Rais Jacob Zuma akiondoka eneo la Union Building jijini pretoria, kwa nyuma ni Graca Machel alivaa nguo nyeusi |
![]() |
| Rais wa Zimbabwe Robart Mugabe naye alikuwepo kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela |
![]() |
| Rais wa Sli Lanka Mahinda Rajapaska akiondoka baada ya kutoa heshima za mwisho |
![]() |
| Aliyewahi kuwa Rais wa Afrika Kusini Thabo Mbeki akitoa heshima za mwisho |
![]() |
| Mjane wa Mzee Nelson Mandela Graca Machel akiuaga mwili wa aliyekuwa mume wake mzee Nelson Mandela |
![]() |
| Aliyewahi kuwa mke wa Nelson Mandela Winnie Mandela akilia kwa huzuni baada ya kuuaga mwili wa Mzee Nelson Mandela |
![]() |
| Mwanamitindo mashuhuri Duniani Naomi Campbell akiwa na simanzi baada ya kuuga mwili wa marehemu mzee Nelson Mandela |
![]() |
| Winnie Mandela akitoka eneo la kuuaga mwili wa Mzee Mandela , Winnie pia aliwahi kuwa mke wa Mzee Mandela |
![]() |
| Maofisa wa jeshi wakijiandaa kubeba jeneza lililobeba mwili wa Mzee Mandela |
![]() | ||
| Maofisa wa Jeshi wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mzee Mandela |
![]() |
| Msafara uliobeba mwili wa Mzee Mandela. pembeni wanachi wa Afrika Kusini wakifuatailia kwa ukaribu huku wakipepea bendera za nchi hiyo. |
![]() |
| Ulinzi ukiwa umeimarishwa |
![]() |
| Msafara wenye mwili wa Mzee Mandela |
![]() |
| Gari iliyobeba mwili wa Mzee Mandela |
![]() |
| Gari iliyobeba Mwili wa Mzee Mandela |
![]() |
| Msafara |
![]() |
| Rais Kikwete akiwa na mkewe Mama Salma nchini Afrika Kusini. |





















2 comments:
Du R I P Nelson Mandela
Pumzika salama Mzee wetu Madiba
Post a Comment