Picha na Steven Mruma.
![]() |
Glory akiwa na mama yake Mh. Vicky kamata mapema kabla ya mahafali kuanza |
![]() |
Glory akiwa na wanafunzi wenzake wakiandaliwa na walimu wao wa Tusime kwa ajili ya mahafali |
![]() |
Wanafunzi waliokuwa wahahitimu top class wakiimba wimbo |
![]() |
Wimbo unaendelea |
![]() |
Baada ya kupata zawadi Glory akiwa na rafiki yake wakiwa na nyuso za furaha, |
![]() |
Glory akiwa na zawadi zake |
![]() |
Glory akiwa katika pozi siku chache baada ya kujiunga na shule ya awali ya Tusime Nursery and primary English Medium. |
No comments:
Post a Comment