Hivi karibuni kulifanyika Party ya kumpongeza Naibu waziri wa Wizara
ya maendeleo ya jamii jinsia na watoto Mh, Ummy Mwalimu katika siku
yake ya Kuzaliwa. Party Hiyo iliofana ilifanyika katika ukumbi uliopo
Dodoma Hotel.
VICKY-KAMATA BLOG INAMPONGEZA MH UMMY
MWALIMU KATIKA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA PIA INAMUOMBEA AWE NA MAISHA
MAREFU YENYE BARAKA NA
AMANI.
No comments:
Post a Comment