
Magavana wa Benki kuu za Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja nje ya ukumbi wa mikutano wa Naura Spring Hotel Arusha-Tanzania tarehe 10/05/2010.Magavana hawa walikubaliana kuingia katika mchakato wa kuwa na sera moja ya fedha ambayo itaziwezesha nchi za Afrika Mashariki kuwa na sarafu moja na hatimaye kuwa na benki kuu moja.

Magavana wa Benki kuu za Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakzi wa benki kuu ya Tanzania na wafanyakazi wa jumuiya ya Afrika Mashariki.

Ilikuwa ni burudani baada ya mkutano..
5 comments:
NATAMANI KUWA GAVANA NAAMINI SIKU MOJAS NITAKUWA AU SI NIKUSOMA BOOK KEEPING TU/
huyo dada mrembo anaitwa gavana nani tena?
dada anavutia hao wengine vicky kawabania hatujaona sura zao
dada anavutia hao wengine vicky kawabania hatujaona sura zao
Post a Comment