
Meneja matukio na promosheni wa kampuni ya bia ya Serengeti(SBL) Bahati Singh(kushoto), akiongea na waandishi wa habari leo Dar es Salaam kuhusu promosheni ya vuna pesa na mizawadi kede- kede inayotolewa na kampuni hiyo ya SBL ambayo itaanza kesho katika viwanja vya kinondoni Biafra na Mwembe yanga Temeke, kulia ni afisa muandamizi wa SBL Imani Lwinga.

Meneja matukio na promosheni wa kampuni ya bia ya Serengeti(SBL) Bahati singh akionyesha kipeperushi cha zawadi mbalimbali kwa waandishi wa habari(hawapo picha).
1 comment:
Post a Comment