PAGES

Saturday, 9 October 2010

CCM USHINDI NI LAZIMA...


 KATIBU MKUU YUSUF MAKAMBA AKISIKILIZA KWA MAKINI TAARIFA FUPI YA JINSI KAMPENI ZINAVYOENDELEA BUKOMBE
 KIKAO CHA NDANI KASAMWA MKOA WA GEITA
 NIKISEREBUKA NA KIKUNDI CHA NGOMA CHA UPENDO GROUP KATA YA KASAMWA

 MKUTANO WA NDANI UKIENDELEA
 MGOMBEA UDIWANI KATA YA KASAMWA GEITA AKIOMBA KURA KWA UNYENYEKEVU
GARI IMECHEMSHA NA MIMI NDIO FUNDI..WANAWAKE TUNAWEZA


 NILIKUTANA NA SCHOOLMATE AIRPORT
PIA NILIKUTANA NA MFANYA BIASHARA MAARUFU JIJINI MWANZA

MWALUVISTANYO KATIKA CAMPAIGN

STARA THOMAS,VICKY KAMATA,LUIZA MBUTU,NYOTA WAZIRI

Monday, 4 October 2010

KILELE CHA WIKI YA UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA ILIYOFANYIKA MWINYIJUMA DAR ES SALAAM

JUKWAA LA MGENI RASMI

CCM USHINDI LAZIMA..

AKINA MAMA WAKISEREBUKA SIKU HIYO