PAGES

Friday, 1 October 2010

  Nikiwa safarini kuelekea Shinyanga kwenye Kampeni
                                   

Nimebahatika kupiga picha na rubani wa Shirika la Ndege la Precision,Mr Mariale.
          Vicky Kamata,Mr & Mrs Mariale at Shinyanga Airport
Kutoka kushoto mjumbe wa CCM Bariadi,Mh.Lucy Mayenga,Vicky Kamata,Mh. Midimu na Mbunge wa vijana Happy

Kijana pekee aliyethubutu kwenda kupambana na Nimrod Mkono, Musoma Vijijini,Mr Mtaka